Geita District Council

About Company

Mission and Vision

Dhima ya Halmashauri

Dhima kuu ni kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma zenye tija na endelevu kupitia utekelezaji wa sera na miongozo inayozingatia utawala bora na ushirikishwaji wa wananchi katika hatua zote za maamuzi kuelekea maisha bora.

Dira ya Halmashauri

Halmashauri kujenga uwezo wake katika kutoa huduma endelevu ili kuhakikisha maisha bora na kupunguza umaskini kwa wananchi wa Halmashauri ya mji Geita ifikapo 2025