Hello Candidates! Discover Jobs Which Meant for You !!

INFORMATION CONSULTACY LTD Location: Morogoro Mjini. 1. MTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHEMA (MOBILE APPLICATION NA WEBSITE) - NAFASI 1 1.1 MAJUKUMU YA KAZI i. Kundaa sketch ya programu za tehama. ii. Kuandaa database iii. Kutengeneza website iv. Kutengeneza mobile application 1.2 SIFA ZA MWOMBAJI Awe na uzoefu Juu ya TEHAMA katika fani ya utengenezaji wa Programu za Mifumo ya TEHAMA na ufahamu na maarifa ya vitendo katika Java EE, C#, C++ na Python pamoja na uwezo wa kufanya kazi za Mifumo ya Uhifadhi Data zenye Uhusiano (Relational DataBase Management Systems (RDMS). Utaratibu wa kutuma maombi: Mwombaji atume CV yake, Kitambulisho na Passport mbili). Maombi yote yatumwe kwenye email address: information.consultancy.co@gmail.com

Mwisho wa kutuma maombi ni 25 August 2025

Related Jobs

Finance Manager at Itibari Technologies Limited

By Itibari Technologies Limited

Deadline: 17 Jul, 2027

HR and Talent Coordinator at Digby Wells

By Digby Wells Environmental

Deadline: 17 Jul, 2027

Open Until Filled